Kijana Rickie Lambert aliookoa jahazi la Uingereza
pale alipofunga bao la ushindi mara tu alipoingia uwanjani katika
mpambano uliogaragazwa katika Uwanja wa Wembley.
Hii ni mechi ya kwanza kabisa kwa Lambert kuichezea Uingereza.lakini baadae msambulizi Theo Walcott alisawazisha bao hilo baada mchezo safi .
Hata hivyo furaha ya Uingereza haikudumu kwani dakika chache baadae Kenny Miller aliiweka Scotland kifua mbele kwa mkwaju mkali ambao kipa wa Uingereza hakuoona.
Baada ya kipyenga cha mwisho mashabiki wapatao 80,000 waliinuka vitini mwa wakiwa wameridhika na jinsi maasimu hao wawili wa soka walivyosakata kabumbu.
BBC