Showing posts with label Afya. Show all posts
Showing posts with label Afya. Show all posts

Monday, November 28

Chanjo dhidi ya Ukimwi kufanyiwa majaribio Afrika Kusini

Wanasayansi wanasema huenda ikawezesha binadamu kukabiliana na virusi hivyo iwapo itafanikiwa, shirika la habari la AP linasema.
Wakati wa majaribio hayo, ambayo yamepewa jina HVTN 702, wanasayansi wanatarajiwa kuwatumia wanaume na wanawake 5,400 ambao wanashiriki ngono kutoka maeneo 15 nchini Afrika Kusini.
Washiriki hao watakuwa wa umri wa kati ya miaka 18 na 35.
Majaribio hayo yatakuwa makubwa zaidi na ya kina zaidi ya chanjo ya Ukimwi kuwahi kufanyika nchini Afrika Kusini ambapo zaidi ya watu
"Ikitumiwa pamoja na silaha tulizo nazo sasa za kuzuia maambukizi, chanjo hiyo inaweza kuwa msumari wa mwisho katika jeneza la Ukimwi,"
Anthony Fauci, mkurugenzi wa Taasisi ya Taifa ya Maradhi ya Kuambukizana na Mzio ya Marekani (NIAID) amesema kupitia taarifa.
"Hata kama mafanikio yake yatakuwa ya kadiri, hilo linaweza kupunguza pakubwa mzigo unaotokana na maradhi hayo katika nchi zenye viwango vya juu vya maambukizi, mfano Afrika Kusini."
Chanjo ambayo itafanyiwa majaribio chini ya HVTN 702 ina uhusiano na majaribio ya chanjo yaliyofanywa mwaka 2009 nchini Thailand.
Chanjo iliyofanyiwa majaribio mwaka huo iligunduliwa kuwa na mafanikio asilimia 31.2 katika kuzuia maambukizi ya virusi vya Ukimwi katika kipindi cha ufuatilizi cha miaka 3.5 baada ya mtu kupewa chanjo.
Wanasayansi wametayarisha chanjo hiyo mpya mahsusi kutoa kinga pana na kwa muda mrefu na kwa kuangazia zaidi aina ya virusi vinavyopatikana kusini mwa Afrika.
Watakaoshiriki katika majaribio hayo ni watu wa kujitolea.
Wanachaguliwa bila kufuata mpangilio wowote, ambapo kundi moja litapokea dozi ya chanjo kwa kipindi fulani na jingine kipimo kisicho cha chanjo. Washiriki wote watadungwa sindano tano katika kipindi cha mwaka mmoja.
Washiriki watakaoambukizwa virusi vya Ukimwi katika kundi hilo watatumwa kwa wahudumu wa afya ili kupokea matibabu ya kupunguza makali ya virusi hivyo na pia kushauria jinsi ya kupunguza hatari ya kueneza virusi hivyo.

Virusi vya HIV huua kinga yote ya mwili na kuacha mwili kwenye hatari ya kuambukizwa maradhi mengine.Image copyrightSPL
Image captionVirusi vya HIV huua kinga yote ya mwili na kuacha mwili kwenye hatari ya kuambukizwa maradhi mengine.

Afrika Kusini ina zaidi ya watu 6.8 milioni ambao wanaishi na virusi vya Ukimwi.
Taifa hilo hata hivyo limezindua mpango mkubwa wa kutoa dawa za kupunguza makali ya ugonjwa huo na kuudhibiti, mpango ambao inasema ndio mkubwa zaidi wa aina yake duniani.
Kiwango cha wastani cha umri wa kuishi kilikuwa kimeshuka sana nchini humo na kufikia miaka 57.1 mwaka 2009 lakini kutokanana na juhudi hizo, kimepanda hadi miaka 62.9 kufikia 2014.
Matokeo ya majaribio hayo ya chanjo yanatarajiwa kutolewa mwishoni mwa mwaka 2020.

Friday, July 5

Azaliwa na Ugonjwa wa Ajabu Aona Dunia Chini Juu

Mwanamke mmoja nchini Serbian, anasumbuliwa na ugonjwa wa ajabu unaomfanya kuona Dunia na vilivyomo ndani yake chini juu, amekuwa akisumbuliwa na hali hiyo iliyosababishwa na matatizo kwenye ubongo wake.
Bojana Danilovic (28) alizaliwa akiwa na hali nadra kumtokea mtu, hali ambayo imemfanya awe anaona kila kitu kilichopo mbele yake kipo chini juu, ugonjwa huo unaofahamika kitaalamu kwa jina la spatial orientation hugeuza mfumo wa ubongo na kumfanya mtu aone kila kitu kipo chini juu.

Wanasema macho yangu yanaona picha katika njia sahihi, lakini ubongo wangu huibadilisha, alisema Danilovic.

Kama utabahatika kuona dawati la Danilovic, unaweza kuzani huwenda anafanya utani, Keyboard ya Computer yake, Monitor na Karatasi anazozichapisha vyote huvigeuza chini juu.

Pamoja na changamoto zote hizo zinazomkabili, lakini amefanikiwa kumaliza masomo yake ya chuo kikuu katika Kitivo cha Uchumi na kupata alama za juu.


NIFAHAMISHE.

Bajeti Ndogo ni chanzo cha vifo vya Malaria

Bajeti ndogo inayotolewa na Serikali katika vituo vya afya nchini ni chanzo cha ongezeko la vifo vya Malaria nchini.Kutokana na hali hiyo ya kutolewa bajeti ndogo kwa Serikali inasababisha ukosefu wa vifaa vinavyohitajika katika vituo vya afya katika kukabiliana na ugonjwa wa Malaria.

Hayo yalisemwa na Mratibu wa Malaria na Magonjwa ya watoto chini ya miaka mitano Dk. Zena Mtajuka.

Mtajuka alisema bajeti inayotolewa na serikali ya kukabiliana na kudhibiti ugonjwa huo ni finyu sana haiwezi kukabiliana na kumaliza tatizo hilo.

Alisema kuwa bajeti hiyo inasababisha kukosekana kwa vifaa na vipimo madhubuti katika vituo vya afya na kupelekea vifo vinavyotokana na malaria vya watoto chini ya miaka mitano kuongezeka siku hadi siku.

Hivyo alitoa wito kwa serikali kutoa bajeti kubwa ya kutosheleza kwenye vituo vya afya ili kuweza kukabiliana na tatizo hilo.  

NIFAHAMISHE.

Je! wajua kwamba lipstick ni hatari kwa wanawake wajawazito na watoto?

Wataalamu wa maswala ya afya ya mama na mtoto wamewataka wanawake wenye ujauzito kupunguza au kuacha kabisa matumizi ya Lipstick, imebainika kipodozi hicho kina material yenye madhara kwa afya ya mtoto. 
Wataalamu hao wamesema kuna umuhimu mkubwa wa kupunguza matumizi ya Lipstick, hasa kwa wanawake wajawazito na watoto wa dogo, mmoja ya wataalamu hao akielezea madhara yaliyopo katika kipodozi hicho pendwa kivutio cha wengi amesema, kila lipstick moja ina Material 55% ya madhara kwa afya ya mtoto.

Uchunguzi uliyofanywa na wataalamu hao katika mashirika 22 makubwa duniani yanayojihusisha na utengenezaji wa kipodozi hicho, umebaini kwamba mashirika 12 kati ya 22 yanatumia material yenye madhara kwa watoto, miongoni mwa madhara ya kipodozi hicho, ni kudhofika kwa akili ya motto na kupunguwa uwezo wa kujifunza.

Katika siku za hivi karibuni midomo imekuwa sehemu muhimu sana katika kukamilisha urembo na unadhifu wa wanawake, lipstick imekuwa inawafanya waonekane wana mvuto zaidi na kuongeza kupendeza katika muonekano wao.


NIFAHAMISHE.

Thursday, July 4

Je, wajua unywaji chai kwa wingi ni hatari kwa afya yako?


Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 47 kutoka jimbo la Michigan nchini Marekani  amepata ugonjwa adimu sana(rare disease) wa mifupa baada ya kunywa chai iliyotengenezwa kwa aina mia moja ya majani ya chai kwa wingi (lita 3 kwa siku) kwa miaka 17 mfululizo, watafiti kutoka Marekani wamesema.
Mwanamake huyo alikwenda hospitali kuonana na Daktari baada ya kuwa na maumivu makali kwenye kiuno,mikono,miguu na kiuno kwa miaka mitano.
Baada ya kufanyiwa kipimo cha X-ray iligundulika mama huyo ana ugonjwa huo adimu ambao huonyesha dalili za kuongezeka kwa uzito wa mifupa ya uti wa mgongo(dense spinal vertebrae) pamoja na kushikana(calcifications of ligaments) kwa viunganishi vya mifupa ya kwenye mikono’’ alisema  mmoja wa watafiti Dr. Sudhaker D. Rao, Daktari bingwa  wa magonjwa vichocheo vya mwili na virutubisho vya mifupa na vya mwili (Endocrinologist and bone and mineral metabolism physician) katika hospitali ya Henry Ford Hospital,Marekani.
Dr. Rao alihisi mama huyo ana ugonjwa wa mifupa unaojulikana kama skeletal fluorosis unaosababishwa kwa kutumia kwa wingi madini aina ya fluoride (Fluoride hupatikana kwenye maji au chai)
Kiwango cha madini ya fluoride katika damu ya mama huyo kilikuwa juu  mara nne zaidi ya kiwango kinachohitajika kwenye mwili wa mwanadamu.
Ugonjwa wa skeletal fluorosis huonekana sana kwenye maeneo ambayo  kiasili yana  madini ya fluoride kwa wingi kama baadhi ya maeneo nchini India na China (katika nchi nyingi kiwango kidogo cha fluoride huweka kwenye maji, dawa za meno kama kinga dhidhi ya ugonjwa wa meno unaojulikana kama cavities) 
‘’Mgonjwa alipewa rufaa ya kuja kuniona kwa sababu madaktari walie muona mwanzo walidhani ana saratani ya mifupa, lakini baada ya mimi kuona X-ray za mgonjwa,mara moja nilitambua kuwa ni ugonjwa wa skeletal fluorosis kutokana na kuwahi kuona wagonjwa wa aina hiyo nilipokuwa kwetu nchini India’’alisema Dr. Rao
‘’Kwa kawaida mwili huchukua kiwango cha madini ya fluoride kinachohitajika tu na kiwango chochote cha ziada hutolewa kupitia kwenye figo.Iwapo mtu atakunywa fluoride nyingi kama mgonjwa huyu alivofanya kutokana na tabia yake ya kunywa chai kwa wingi,basi baada ya  muda mrefu madini haya ya fluoride hujikusanya kwa pamoja na kujipandikiza kwenye mifupa’’ aliendelea kusema Dr. Rao.
Dr. Rao alisema huko nyuma waliwahi kupata wagonjwa wengine wachache wa skeletal fluorosis ambao walikuwa wakinywa  lita 3.7 za chai kwa siku na baada ya kuwaambia wagonjwa hao waache kunywa chai, dalili za ugonjwa huo zilianza kupungua na wagonjwa kupata nafuu kubwa.
Mkusanyiko wa madini ya fluoride kwenye mifupa hupotea baada ya muda mrefu ikiwa mgonjwa ataacha kunywa chai kwani mifupa ina kawaida ya kujirekebisha (bone repair) yenyewe baada ya muda.
Utafiti huu unapatikana katika jarida la New England Journal of Medicine liliochapwa tarehe 21 march 2013. Madini ya fluoride hupatikana kwa wingi katika maeneo ya kaskazini mwa Tanzania.Kwa wale wanaopenda kunywa chai basi wajitahidi wasinywe zaidi ya vikombe tano kwa siku.
 
TANZMED.

Magonjwa ya maambukizi: Kifua kikuu,Malaria,Kipindupindu.


MAFUA YA NDEGE (BIRD FLU)

Huu ni ugonjwa unaoathiri zaidi ndege wa jamii mbalimbali. Hata hivyo virusi wanaosababisha ugonjwa huu, wana uwezo wa kujibadilisha umbo na tabia zake (mutation) na kisha kumuathiri mwanadamu. Mabadiliko haya ya kimaumbile na kitabia husababisha kutokea kwa milipuko (epidemic) ya mafua ya ndege sehemu mbalimbali duniani hali ambayo isipothibitiwa inaweza kusambaa na kuathiri sehemu kubwa ya dunia kwa wakati mmoja (pandemic).
Visababishi vya mafua ya ndege 
Mafua ya ndege husababishwa na jamii ya virus wajulikanao kama Avian Influenza virus. Virusi vya kwanza kabisa kumuathiri binadamu na kumsababishia mafua ya ndege vilihusishwa na kuku na viligunduliwa mwaka 1997 huko nchini Hong Kong na kupewa jina la avian influenza A (H5N1). Huu ulikuwa ni mlipuko wa kwanza wa ugonjwa huu kuwahi kuripotiwa. Kuna matukio machache sana ya maambukizi kutoka kwa binadamu kwenda binadamu yaliyowahi kuripotiwa mpaka sasa.
Influenza virus ni nini?
Kuna aina kuu tatu za virusi wa influenza, A, B na C. Mafua ya ndege husababishwa na jamii ya influenza A ambao wana uwezo wa kuingia na kuishi katika seli za ndege. Umbo la kinasaba la virusi hawa wa influenza A limeundwa na kamba nane za protein aina ya RNA. Aidha virus wa Influenza wanaweza pia kuainishwa kulingana na aina ya protein inayounda maumbo yao. Protini hizo zipo katika aina mbili nazo ni hemagglutinin (H) pamoja naneuraminidase (N). Protini hizi zina kazi mbalimbali katika umbo la virusi. Kadhalika protini hizi nao pia zimeganyika katika aina mbali, ambapo virusi hatari wa mafua ya ndege wanaundwa na aina ya 5 ya protin yahemagglutinin na aina ya 1 ya protini ya neuraminidase na hivyo ndiyo maana hujulikana kama H5N1 influenza A virus.
Wapo virusi wa influenza ambao huishi katika mwili wa binadamu tu, hawa hujulikana kama human influenza; na wapo wengine ambao huishi katika miili ya wanyama kama vile nguruwe, chui, na hata paka. Hata hivyo wakati fulani, muingiliano kati ya virusi hawa na wenyeji wao yaani waathirika hutokea.
Ukubwa wa tatizo  
Tangu hapo, matukio kadhaa ya milipuko ya ugonjwa wa mafua ya ndege kwa binadamu inayohusishwa na virusi wa avian influenza A (H5N1) yamepata kuripotiwa katika sehemu kadhaa za mabara ya Asia, Afrika, Ulaya na pia nchi za Vietnam, Indonesia, na maeneo kadhaa ya Mashariki ya mbali. Mamia ya watu wameripotiwa kufa kutokana na milipuko hiyo ambapo inakadiriwa kuwa zaidi ya asilimia 60 ya watu wote waliopatwa na ugonjwa huu walifariki dunia.
Vihatarishi vya ugonjwa wa mafua ya ndege 
Kadiri jinsi virusi wa mafua ya ndege wanavyosambaa ndivyo uwezekano wa kutokea kwa milipuko ya ugonjwa huu inayoathiri binadamu sehemu mbalimbali duniani unavyokuwa mkubwa. Watafiti wameonesha kuwepo kwa hatari ya kutokea kwa mlipuko mkubwa (pandemic) unaoweza kusababishwa na kusambaa kwa virusi hawa duniani.
Watu walio katika hatari ya kukumbwa na ugonjwa wa mafua ya ndege ni pamoja na:
•    Wakulima na wale wanaojishughulisha na ufugaji wa jamii mbalimbali za ndege
•    Wasafiri wanaotembelea maeneo yaliyokumbwa na mlipuko
•    Yeyote anayegusa ndege aliyeathirika na mafua ya ndege
•    Mtu anayekula nyama 
ya ndege aliyeambukizwa virusi wa avian influenza ikiwa mbichi au isiyoiva vizuri au kula mayai au damu za ndege wenye virusi hao
•    Aidha, watoa huduma za afya pamoja na ndugu za wagonjwa wenye ugonjwa huu nao pia wapo katika hatari kubwa ya kupata maambukizi ya mafua ya ndege.
Imeonekana kuwa virusi wa avian flu virus (H5N1) wana uwezo mkubwa wa kuishi katika mazingira kwa muda mrefu bila kuathirika. Katika hali hii, maambukizi yanaweza pia kusababishwa na mtu kugusa maeneo walipo virusi hawa. 
Ndege walioambukizwa ugonjwa huu huendelea kutoa virusi kupitia katika vinyesi vyao au mate yao kwa muda wa mpaka siku kumi tangu waambukizwe.

Dalili za mafua ya ndege
Dalili za mafua ya ndege kwa binadamu hutegemeana na aina ya virusi waliomshambulia muhusika. Dalili pia zinaweza kuanza kujitokeza siku saba mpaka kumi tangu mtu anapopatwa na maambukizi ya virusi wa H5N1.
Maambukizi yanayosababishwa na virusi vya jamii ya H5N1 kwa binadamu husababisha mgonjwa kuwa na dalili zote za mafua makali kama vile
•    kukohoa (kikohozi kikavu au wakati mwingine kinachotoa makohozi),
•    kuharisha sana,
•    kutapika
•    kichefuchefu
•    kupumua kwa shida, (Acute Respiratory Distress Syndrome)
•    homa zaidi ya nyuzijoto 38 centigrade,
•    kuumwa na kichwa,
•    kujihisi uchovu wa mwili,
•    maumivu ya misuli ya mwili mzima,
•    kutokwa na makamasi mepesi yanayotiririka bila ukomo na
•    kuwashwa na koo.
Vipimo na uchunguzi
Kabla daktari hajaagiza kufanyika kwa vipimo, anaweza kwanza kutaka kujua historia ya mgonjwa ili kufahamu dalili zinazomsumbua. Kisha atamchunguza mgonjwa kwa kumpima kifua (kusikiliza sauti za hewa zinazoingia na kutoka katika mfumo wa njia ya hewa), kumpima joto la mwili, na pia kuchunguza pua na koo.
Baada ya uchunguzi wa mwili, daktari anaweza kuagiza vipimo vifuatavyo kufanyika.
  • X-ray ya kifua ili kuchunguza iwapo kuna athari zozote katika mapafu,
  • kuchukua sehemu ya makamasi na makohozi kutoka kwenye koo na pua yaani nasopharyngeal culture na kuotesha maabara ili kufahamu aina ya virusi na bakteria wanaomsumbua mgonjwa
  • kipimo cha damu yaani Full Blood Picture mkazo ukiwekwa kwenye kuangalia chmbe nyeupe za damu kama zipo sawa au zimeongezeka,
  • vipimo vya utendaji kazi wa mafigo, ini pamoja na moyo pia ni muhimu kufanyika.
Ingawa vipimo vya kutambua virusi wa mafua ya ndege kama vile PCR vipo, lakini havijasambaa sehemu nyingi duniani. Hata hivyo, vipimo hivi hutumia muda mfupi sana (chini ya saa tano) kutoa majibu ya kutambua jamii ya virusi inayomuathiri mgonjwa na hivyo kumuwia urahisi tabibu kushughulika navyo.
Matibabu
Kama tulivyoona hapo juu kuwa, jamii mbalimbali za virusi wa avian flu huweza kusababisha dalili tofauti tofauti. Hivyo basi hata matibabu pia yaweza kutofautiana kati ya mgonjwa na mgonjwa.
Kwa ujumla, iwapo ndani ya saa 48 tangu kujitokeza kwa dalili, mgonjwa atapatiwa dawa za kuua virusi za aina yazanamir au oseltamivir kuna uwezekano mkubwa wa kupunguza makali ya ugonjwa na hivyo kuongeza uwezekano wa mgonjwa kupona.
Pia ndugu na jamaa wanaoishi nyumba moja na mgonjwa wanaweza kupewa dawa ya Oseltamivir ili kuwakinga wasipatwe na maambukizi ya virusi hawa, na iwapo watakuwa wameambukizwa, kuwaua kabla hawajasambaa zaidi mwilini.
Dawa za amantadine na rimantadine ambazo hutumiwa mara kwa mara kwa ajili ya kutibu maambukizi ya aina mbalimbali za virusi imeonekana kuwa hayana uwezo wa kuua virusi wanaosababisha mafua ya ndege na hivyo inshauriwa kutoyatumia pindi mlipuko wa mafua ya ndege unapotokea.
Baadhi ya wagonjwa wanaweza kuwa na hali mbaya sana kuliko wengine. Wapo ambao hufikia hatua ya kushindwa kupumua wenyewe. Wagonjwa wa namna hii hawana budi kulazwa katika vyumba vya uangalizi maalum na kusaidiwa kupumua kwa kutumia mashine. Aidha inashauriwa sana na wataalamu wa magonjwa ya mlipuko kuwatenga wagonjwa wote wa mafua ya ndege katika sehemu maalum ili kuzuia kusambaa zaidi kwa ugonjwa huu.
Chanjo dhidi ya mafua ya ndege
Watafiti wamefanikiwa kutengeneza chanjo dhidi ya virusi wanaosambaza ugonjwa wa mafua ya ndege. Chanjo hiyo ambayo imethibitishwa na mamlaka mbalimbali za madawa duniani imetengenezwa kwa lengo la kumkinga binadamu dhidi ya maambukizi ya mafua ya ndege na  inaweza kutumika iwapo virusi wa H5N1 atabdilika tabia na kuanza kusambaa kutoka kwa binadamu kwenda kwa binadamu mwingine.
Kadhalika, wataalamu wanashauri sana watu kupata chanjo dhidi ya virusi wa influenza (wale wanaosababisha mafua ya kawaida kwa binadamu) ili kupunguza uwezekano wa virusi wa mafua ya ndege kujichanganya na virusi wa mafua ya kawaida (yaani human influenza) na kuzaa virusi wapya ambao wanaweza kuwa na uwezo wa kusambaa kwa urahisi zaidi na kuwa hatari zaidi kuliko hawa waliopo sasa.
Matarajio
Matokeo ya ugonjwa hutegemea sana ukali wa maambukizi pamoja na aina ya virusi waliomshambulia mgonjwa. Ikumbukwe kuwa karibu nusu ya wagonjwa wanaopatwa na mafua ya ndege hufariki.
Madhara
Madhara ya ugonjwa wa mafua ya ndege ni pamoja na
•    Kupata shida wakati wa kupumua (Acute Respiratory Distress)
•    Kushindwa kufanya kazi kwa viungo mbalimbali vya mwili (multi-organs failure)
•    Homa ya mapafu
•    Maambukizi katika damu (septicemia)
Kinga
Inashauriwa sana kuepuka njia zote ambazo zinaweza kukufanya upate maambukizi ya ugonjwa huu. Njia hizo ni pamoja na
•    Kwa  wasafiri, ni muhimu kuepuka kutembelea maeneo wanapouzwa au kufungwa ndege hususani sehemu zilizoripotiwa au kuhisiwa kuwa na milipuko ya ugonjwa huu
•    Wafugaji wa ndege wanaohisiwa kuwa na virusi vya mafua ya ndege wanapaswa kuvaa vifaa maalum vya kujikinga ili wasipatwe na maambukizi
•    Nawa mikono kwa sabuni mara baada ya kushika ndege au mazao ya ndege wenye maambukizi
•    Inashauriwa kuepuka kula nyama mbichi au isiyoiva vizuri ya ndege (kuku, bata, njiwa) ili kupunguza uwezekano wa maambukizi
•    Iwapo utaamua kupika nyama ya ndege, hakikisha unaipika katika nyuzijoto si chini ya 165 Farenheit
•    Epuka kugusa ndege au mazao ya ndege (vinyesi, damu, mayai) wanaohisiwa kuwa na virusi vya H5N1
•    Nenda hospitali haraka iwapo utajihisi kuwa na dalili za mafua ya ndege (kama zilivyotajwa hapo juu) ndani ya siku kumi baada ya kushika ndege au mazao ya ndege  wanaohisiwa kuwa na virusi vya H5N1 au iwapo ulisafiri kwenda eneo lenye mlipuko wa mafua ya ndege.
•    Epuka kunywa dawa za kuua virusi wa mafua ya ndege bila kupata ushauri wa daktari.
MALARIA
Malaria ni ugonjwa unaoathiri watu wengi sana duniani. Malaria husababisha vifo vya watu milioni 2.7 duniani kote, ambapo vifo vingi hutokea barani Afrika. Ugonjwa wa malaria huonekana katika nchi 100 duniani kote.
Kwa Tanzania, mikoa ambayo inaongoza kwa maambukizi ya malaria ni Kagera (41.1%), Lindi (35.5%), Mtwara (36.6%), Mwanza (31.4%), Mara (30.3%). Mikoa ambayo  maambukizi ya malaria ni kidogo  ni Manyara (1%), Kilimanjaro (1%) na Dar-es-salaam (1.2%). Kwa Zanzibar, maambukizi ya malaria ni kwa asilimia 0.8.
Malaria huonekana sana katika kanda ya Tropiki.Ugonjwa huu wa malaria uligunduliwa mwaka 1880 na Charles Louis Alphonse Laveran, katika hospitali ya jeshi ya Constatine, Algeria, baada ya kuona vimelea vya plasmodium, kutoka kwa mgonjwa aliyefariki kwa ugonjwa huo.
Malaria ni kati ya magonjwa ya maambukizi ambao husababishwa na vimelea vya Plasmodium, ambavyo humfikia binadamu kupitia kung’atwa na mmbu aina ya Anopheles jike.
Kuna aina 5 za vimelea viletavyo malaria:
  1. Plasmodium falciparum - Hupatikana sana katika nchi zilizopo katika jangwa la sahara. Asilimia 75 ya wagonjwa wote wa malaria barani Afrika husababishwa na vimelea hivi. Mwaka 2006, kati ya watu milioni 247 duniani waliougua malaria, asilimia 91 walisababishwa na vimelea hivi (Afrika 98%) na kusababisha vifo kwa asilimia 90 mwaka huo huo barani Afrika.
  2. Plasmodium malariae - Pia hupatikana katika nchi zilizopo katika jangwa la sahara, Asia ya Mashariki, Indonesia na katika visiwa vya magharibi mwa Pacific. Kati vya vimelea vyote vya malaria, plasmodium malariae ndio huonekana kwa uchache zaidi.
  3. Plasmodium ovale - Hupatikana Afrika Magharibi, Ufilipino, Mashariki mwa Indonesia, Papua New Guinea, Cambodia, Bangladesh, India, Thailand na Vietnam.
  4. Plasmodium vivax - Huonekana katika bara la Marekani, Latin Amerika na baadhi ya sehemu za bara la Afrika.
  5. Plasmodium knowlesi - Hupatikana katika bara la Asia ya mashariki katika nchi za Bormeo, Myanmar, Malaysia, Ufilipino, Singapore na Thailand. Haipatikani katika bara la Afrika.
Mzunguko wa maisha ya vimelea vya malaria
Mwenyeji wa msingi ya vimelea vya malaria ni mbu aina ya anopheles wa kike, ambae pia ni msambazaji, na binadamu ni mwenyeji wa kati. Mbu anapokuwa anajipatia chakula kwa kunywa damu kwa kuuma binadamu mwenye maambukizi ya vimelea vya malaria, ndio mzunguko wa kwanza huanza, ambapo gametocyte za vimelea vya plasmodium hugawanyika ndani ya mbu na  kutengeneza gametocyte za kike na za kiume na baada ya hapo gametocyte hizo za kike na za kiume, hujiunga ndani ya mfumo wa chakula wa mbu na kutengeneza Ookinete ambayo hupenyeza kwenye kuta za mfumo wa chakula na kutengeneza Oocyst nje ya ukuta wa mfumo wa chakula, na hapo hupasuka na kutengeneza Sporozoites na kuhamia kwenye tezi za mate za mbu, na kuwa tayari kuambukiza binadamu mwengine pindi mbu anapojitafutia chakula.
Kwa mbu jike damu ndio lishe yake wakati dume lishe yake ni nekta ya mimea, hivyo mbu dume hasambazi ugonjwa huu. Na mbu jike aina ya anopheles hupenda kujipatia lishe kipindi cha usiku.
Maambukizi ya malaria yanaweza kupatikana kwa kuongezewa damu ingawa ni nadra sana.

Kwa Binadamu pindi anapong’atwa na mbu hupata maambukizi kupitia mate ya mbu, na vimelea vya plasmodium kwenye hatua ya sporozoites huingia kwenye damu na kuelekea kwenye ini ambapo hutengeneza schizonts na baadae schizonts hupasuka na kuachia merozoites kuelekea kwenye damu na kutengeneza immature trophozoite  kiataalamu zinajulikana kam ring stage ambapo baada ya hapa huwa kuna hatua mbili tofauti zinazofuata,hatua ya kwanza ni mature trophozoites na kutengeneza schizont nyingine kwenye damu na vilevile schizont hii hupasuka na kutoa immature trophozoites na kuendelea kujirudia tena hatua hii. Hatua nyingine ni gametocyte ambayo hubebwa na mbu.

Dalili
  • Homa
  • Maumivu ya kichwa
  • Kichefuchefu
  • Kutapika
  • Maumivu ya misuli
  • Manjano
  • Degedege
  • Kupoteza fahamu
  • Kukua kwa wengu
  • Dalili za mwanzo hutokea kati ya siku 10 hadi wiki 4, na dalili nyingi hutokea pale hatua ya merozoites inapoachiwa nyingi kwenye damu baada ya schizonts kupasuka.
Madhara ya malaria

  • Malaria ya kichwa (cerebral malaria)
  • Matatizo ya kupumua (pulmonary edema)
  • Viungo kushindwa kufanya kazi (organ failure)
  • Upungufu wa damu
  • Upungufu wa sukari mwilini (hypoglycemia)
  • Shinikizo la chini la damu (hypotension)
  • Haemoglobinuria
  • Disseminated intravascular coagulopathy
  • Metabolic acidosis
Vipimo na uchunguzi
  • Kipimo cha damu na kutumia hadubini
    • Thin film--hutumika kutambua aina ya vimelea vya plasmodium (falciparum,ovale,vivax,malariae)
    • Thick film---hutumika kutambua idadi ya vimelea/µL
  • Kipimo cha damu bila kutumia hadubini
    • Malaria Rapid Diagnostic Test
  • PCR
Matibabu
  • Dawa za malaria
    • Mstari wa kwanza (dawa mseto)
      • Artemether plus Lumefantrine
      • Dihydroartemisinin plus Piperaquine
    • Mstari wa Pili
      • Amodiaquine
    • Mstari wa tatu
      • Quinine
  • Dawa za kushusha homa na maumivu
  • Paracetamol
Kama sehemu ya tiba, mgonjwa anashauriwa pia kula na kunywa maji ya kutosha.
Jinsi ya kuzuia maambukizi ya Malaria
  • Kuzuia mazalio ya mbu
    • Fyeka vichaka na ondoa madimbwi ya maji katika  maeneo yanayokuzunguka.
  • Kuzuia kung’atwa na mbu
    • Matumizi ya vyandarua vyenye dawa ya kuua mbu 
    • Matumizi ya dawa za kupulizia za kuua mbu majumbani
    • Matumizi ya dawa za kupaka za kuua mmbu
  • Dawa za kuzuia malaria kwa wasafiri watokao nchi sizizo na malaria
    • Proguanil
    • Malarone
    • Mefloquine
  • Dawa za kuzuia malaria kwa kina mama wajawazito (IPT)
    • Sulfadoxine Pyrimethamine (SP) hutolewa kwa kina mama katika wiki ya 20 na wiki ya 36 ya ujauzito.

Wednesday, June 26

Hali ya UKIMWI Tanzania


kesi ya kwanza ya VVU / UKIMWI nchini Tanzania waliripotiwa in1983, ingawa kwa Afrika Kusini mwa Sahara kwa ujumla tatizo alianza uso katika miaka ya 1970. Janga imebadilika kutoka kuwa adimu na ugonjwa mpya wa tatizo la kawaida kaya, ambayo imeathiri familia nyingi Tanzania. maendeleo ya janga la VVU / UKIMWI na madhara yake wazi juu ya kila sekta ya maendeleo kwa njia ya shinikizo si tu juu ya huduma za UKIMWI kesi na usimamizi wa rasilimali, lakini pia kwa njia ya debilitation na kupungua kwa idadi ya watu kiuchumi kazi hasa vijana wanawake na wanaume. 
Maambukizi ya VVU ni unevenly kusambazwa katika eneo la kijiografia, jinsia, umri, makundi ya kijamii na madarasa ya kiuchumi katika nchi. asilimia ya watu walioathirika na VVU misafa kutoka chini ya asilimia tatu katika sehemu kubwa ya nchi kwa zaidi ya asilimia 44.4 katika idadi fulani ndogo. Janga amepiga zaidi kundi ya kiuchumi zaidi ya kazi ya watu wazima, wale 15-45 wazee. 

Usambazaji wa wagonjwa wa UKIMWI: 
Kati ya tarehe 1 Januari na 31 Desemba 1999, jumla ya kesi 8,850 UKIMWI waliripotiwa NACP kutoka mikoa 20 ya Tanzania Bara na kufikisha idadi ya wagonjwa wa UKIMWI kutoka mwaka 1983 hadi 118,713. Simulation mfano makadirio ya kwamba 1 tu kati ya 5 wagonjwa wa UKIMWI ni taarifa. NACP, kwa hiyo, makadirio ya kwamba 44,250 kesi ilitokea mwaka 1999 na 600,000 nyongeza UKIMWI kesi yalitokea 1983-1999 (www.ppu.go.tz). 
usambazaji wa wagonjwa wa UKIMWI na umri na ngono wakati wa kipindi cha Januari hadi Desemba 1999 (ni muhtasari katika www.ppu.go.tz) kwa jinsia zote kesi nyingi kuanguka ndani ya kundi la umri 20-49 miaka; kilele umri kwa wanawake kuwa 25 - miaka 29 wakati kwamba kwa wanaume ni miaka 30-34. Kwa ujumla wanawake kupata maambukizi ya VVU katika umri mapema ikilinganishwa na wanaume, kuchukua sawa incubation kipindi kwa jinsia zote. Viwango maalum vya kesi mwaka 1999 zinaonyesha kuwa wanaume na juu ya kiwango cha kesi (28.2 kwa kila watu 100,000) ikilinganishwa na wanawake (26.5 kwa kila watu 100,000). 
idadi ya jumla kwa ajili ya 1999 imekuwa yanatarajiwa kutoka sensa ya 1988 idadi ya watu kwa kutumia kielelezo ukuaji mfano wa kuigwa na kila mwaka kiwango cha ukuaji wa idadi ya 2.8%, makadirio ya NACP kwamba 1 tu kati ya 5 wagonjwa wa UKIMWI ni taarifa kutokana na chini ya matumizi ya huduma za afya, chini ya utambuzi , chini ya kuripoti na ucheleweshaji wa taarifa. Hata hivyo, data ni kuamini kutafakari mwenendo wa kesi UKIMWI nchini. 

nchi majibu 
Wakati wa miaka kumi na minane, Tanzania imefanya njia nyingi tofauti katika kujaribu kupunguza kuenea kwa maambukizi ya VVU na kupunguza athari zake kwa watu binafsi, familia na jamii kwa ujumla. Tangu mwaka 1983, wakati wa kwanza wa kesi 3 UKIMWI nchini Tanzania waliripotiwa, janga la VVU imeingia tofauti katika makundi mbalimbali ya idadi ya watu wakati mwitikio wa kitaifa ina maendeleo yenyewe katika awamu ya shughuli za mpango wakiongozwa na Mpango wa Taifa wa Kudhibiti UKIMWI tangu mwaka 1985. awamu ya mpango ilianza na awamu ya miaka miwili aitwaye Short Term Plan (1985-1986). Awamu baadae walikuwa wanaiita Mipango ya Muda wa Kati ya kudumu kwa muda wa miaka mitano kuanzia na MTP-I (1987-1991), ikifuatiwa na MTP-II (1992-1996) na sasa MTP-III, ambayo ilikuwa kuanzia mwaka 1998. Kupitia mpango wa awamu ya haya mafanikio majibu ya taifa wamekuwa kutambuliwa, ndio ufanisi zaidi kuwa wale kugusa juu ya vigezo kubwa ya ugonjwa na kushughulikia maeneo ya kipaumbele kwamba kufanya watu hatari kuambukizwa VVU.

Hali ya uchambuzi 
uchambuzi wa hali ya VVU / UKIMWI nchini Tanzania alikuwa akifanya katika 1997 na umeonyesha kuwa mbaya epidemiological hali ambapo janga ana haraka kuenea katika maeneo ya vijijini na hivyo kuongeza hapo awali chini ya vijijini kiwango cha maambukizi kwa zaidi ya 10% katika baadhi ya maeneo. Mama-kwa-mtoto maambukizi inaonekana kuwa juu ya kuongeza, kama zaidi na zaidi wanawake kuendelea kuwa walioambukizwa na mimba. 
vijana na wanawake na makundi yaliyoathirika zaidi kwa sababu ya kiuchumi, sababu za kijamii na kiutamaduni, za kibiolojia na anatomical. Hivyo, umaskini, ambayo huonyesha uchumi wa nchi, ni kigezo muhimu. Makundi ya watu ya Mkono pia wamekuwa jumuishwa kama hatari kuambukizwa VVU kama kazi zao majeshi yao katika tabia hatarishi ya ngono. simu ya idadi ya watu makundi ni pamoja na wafanyakazi biashara ya ngono, wafanyabiashara ndogo ndogo, wafanyakazi wahamiaji, wanajeshi na madereva umbali mrefu lori. 
Vigezo ya gonjwa wamekuwa kutambuliwa na makundi ndani ya jamii ndio, kitabia na kibiolojia. Janga la VVU / UKIMWI imekuwa na athari kubwa kwa uchumi wa nchi. Ni imeathiri kilimo na viwanda uzalishaji kama vile walioathirika vigezo kijamii na idadi ya watu kama vile umri wa kuishi. Yatima wa UKIMWI wamekuwa kuongeza katika idadi wakati familia, jamii na Serikali haiwezi kukabiliana na rasilimali zinazohitajika kwa ajili ya kuhudumia mahitaji yao. 
Kwa upande wa mwitikio wa nchi na janga kumekuwa na juhudi mbalimbali ya kitaifa ya kudhibiti kuenea kwa VVU. Wakati juhudi za awali walikuwa hasa kutekelezwa na MOH, nyongeza, kumekuwa na taratibu ushiriki wa sekta nyingine za umma, mashirika yasiyo ya kiserikali na mashirika ya kijamii. Hii mwitikio wa sekta mbalimbali kwa tatizo la VVU / UKIMWI / magonjwa ya zinaa imehusisha, miongoni mwa wengine, IEC shughuli kwa ajili ya kuzuia maambukizi ya VVU, huduma kwa wagonjwa wa UKIMWI katika hospitali na nyumbani, maisha ya familia ya elimu, Serikali kutenga fedha za bajeti kwa ajili ya shughuli UKIMWI, kondomu ununuzi na usambazaji na shughuli STD usimamizi. Unaojumuisha majibu yote hapo juu ni ya maendeleo ya Sera ya Taifa ya VVU / UKIMWI / magonjwa ya zinaa na kuongeza na kuimarisha mwitikio wa kitaifa dhidi ya janga hili. 
Epidemiological Hali ya VVU / UKIMWI / magonjwa ya zinaa katika Tanzania 
Katika Tanzania, maambukizi ya VVU hutokea hasa kwa njia ya mwanzo heterosexual kuwasiliana katika miaka ya mwanzo kijana na peaking kabla ya umri wa miaka 30. Tangu mwaka 1983, wakati wa kwanza wa kesi tatu UKIMWI nchini Tanzania waliripotiwa, janga la VVU imeingia tofauti katika makundi mbalimbali ya idadi ya watu. Mapema katika janga hili, wakazi wa mijini na jamii iko kando ya barabara walikuwa wengi kuathirika. Kulingana na VVU NACP / UKIMWI / magonjwa ya zinaa Surveillance Ripoti Namba 11, 1996, janga ana haraka kuenea kwa jamii za vijijini na mwaka 1997, zaidi ya 10% ya wanawake wanaohudhuria kliniki za wajawazito hali katika baadhi ya maeneo ya vijijini wamekuwa na maambukizo ya virusi . 
nyongeza UKIMWI kesi kama ilivyoripotiwa kutoka ripoti ya ufuatiliaji zilizokusanywa na ya Taifa ya Kudhibiti UKIMWI (NACP) Tanzania Bara, umeongezeka kutoka 25,503 mwishoni mwa mwaka 1990 hadi 88,667 mwaka 1996. Zaidi ya 80% ya kesi The UKIMWI walikuwa katika kundi la umri 20-44 miaka.

Maambukizi ya VVU Maambukizi: 
Maambukizi ya VVU katika wafadhili kiume damu ilikuwa 8.7% na katika wafadhili kike damu kiwango cha maambukizi ilikuwa 12.6. Tofauti hii ni muhimu kitakwimu. Extrapolating viwango haya na idadi ya watu Tanzania Bara watu wazima, watu wenye umri wa miaka 15-49 miaka 1,259,539 (1,745,320 watu wazima wenye umri 15 na zaidi) walikuwa wameambukizwa virusi vya UKIMWI kama saa Desemba 1999. Kwa ujumla ya maambukizo ya VVU ya wanaume na wanawake imekuwa kuendelea kuongezeka kwa kipindi cha miaka nane. Kiwango cha maambukizi miongoni mwa wafadhili wa kike damu jijini Dar es Salaam imekuwa inashangaza high kutoka 1997-1999, kwa kiasi kikubwa 
Maambukizi ya VVU kwa sababu taarifa kutoka Bahari Hospital Road ni juu sana (kwa ajili ya 1999, 56.1% kwa wanawake na 35.7% kwa wanaume). 
Hali ya maambukizi ya VVU miongoni mwa watoa damu inaonyesha baadhi ya tofauti maalum kuhusiana na umri na jinsia. Mwaka 1999, kama ilivyokuwa miaka iliyopita, kiwango cha maambukizi ya juu ya maambukizi ya VVU ilionekana miongoni mwa wanawake kuliko katika wanaume wa kundi la umri sawa. maambukizi katika makundi ya umri kwa ajili ya safu kiume kati ya 7.9% na 14.9% kwa ajili ya vikundi vya umri 50-54 na 35-39 miaka mtiririko 

Tangu UKIMWI ni matokeo ya marehemu ya maambukizi ya VVU, kwa muda mrefu incubation kipindi cha miaka kati ya 5 na 10 na kukosekana kwa dalili muhimu katika hatua za mwanzo za maambukizi, kufanya hivyo ni vigumu kujua idadi halisi ya maambukizi ya VVU nchini. kuaminika tu takwimu zilizopo ni kwamba kutoka damu wafadhili na tafiti chache sero-maambukizi katika mikoa ya kuchaguliwa. Mwaka 1986, 6.8% ya wafadhili watu wazima wanaume na wanawake 8.2% walikuwa na VVU (wastani kutoka masomo ya idadi ya watu 7%). Extrapolation kutoka takwimu hizi katika idadi ya wastani wa watu wazima 15,500,000 katika matokeo ya Tanzania Bara katika angalau 1,350,000 chanya VVU ambayo ni 8.7% ya watu wazima. Angalau 5% ya idadi ya watu walioambukizwa inaweza kuendeleza na UKIMWI full-barugumu, kutoa takriban 68,00 wagonjwa wa UKIMWI kwa mwaka. 
Kulingana na wafadhili damu data ya 1996, maambukizi ya VVU ilikuwa juu miongoni mwa vijana katika vikundi umri wa miaka 20 - 24, 25 - 29 na 30-34. Viwango vya maambukizi katika makundi haya umetofautiana kutoka% 5.9-7.9% kati ya wanaume, na kutoka% 9.3-10.1% miongoni mwa wanawake, mwisho kuwa walioathirika miaka ya mapema kuliko ya zamani. 
Ingawa inakadiriwa kuwa kiwango cha maambukizi ya virusi vya ukimwi miongoni mwa wafadhili wa watu wazima damu ni 8.7%, mbalimbali inatofautiana kutoka 5% hadi 20%. Mikoa zaidi walioathirika ni Kagera, Iringa na Mbeya na aina mbalimbali ya maambukizi ya 15% hadi 20%, Dar es Salaam, Rukwa, Shinyanga na Mwanza na aina mbalimbali ya maambukizi ya 10% hadi 15% wakati Ruvuma, Kilimanjaro na Mtwara ni katika aina mbalimbali maambukizi ya 5% hadi 10%. 
Wima maambukizi ya VVU kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto pia ni makubwa katika Tanzania. Mwaka 1996 hii ilichangia 4% ya kesi zote taarifa UKIMWI. Tatizo inaonekana kuwa juu ya kupanda kama wanawake zaidi kuendelea kuwa walioambukizwa na mimba. Takwimu kutoka tafiti sentinel katika kliniki za wajawazito kuonyesha sero-kasi ya maambukizi ya 5.5% hadi 23%, na kuchukua 30% ya kabla ya kujifungua kiwango cha maambukizi, idadi ya borns mpya inatarajiwa kuwa wameambukizwa inaweza kufikia asilimia 7. 
VVU / UKIMWI inazidi kuwa kubwa msingi kwa sababu waliolazwa katika hospitali na vifo. Magonjwa mengi, ambayo ilionekana wamekuwa kudhibitiwa miaka kumi iliyopita, wamerejea kwa viwango vya zamani kutokana na VVU / UKIMWI. Kwa mfano kiwango cha maambukizi ya virusi vya ukimwi kati ya wagonjwa 128 wapya wanaona kifua kikuu katika mikoa ya Mbeya mwaka 1995 ilikuwa 52%, ambapo kwamba idadi ya Bukoba hospitali katika 1992 ilikuwa 57.4%. Uchunguzi uliofanywa jijini Dar es Salaam, Hai na Morogoro ilionyesha kuwa VVU / UKIMWI ni sababu kubwa ya vifo vya watu wazima hasa miongoni mwa wanawake.

Tuesday, June 25

Ugonjwa wa ukoma


Leo, utambuzi na matibabu ya ukoma ni rahisi na wengi endemic nchi ni kujitahidi kikamilifu kuunganisha huduma ukoma katika huduma zilizopo za afya kwa ujumla. Hii ni muhimu hasa kwa wale walio chini-aliwahi na jamii zilizotengwa katika hatari zaidi ya ukoma, mara nyingi maskini wa maskini.
Kupata utambuzi wa habari, na matibabu na multidrug tiba (MDT) kubaki mambo muhimu katika mkakati wa kuondokana na ugonjwa kama tatizo la afya ya umma, hufafanuliwa kama kufikia kiwango cha maambukizi ya kesi chini ya 1 ukoma kwa idadi ya watu 10,000. Michache tu ya mataifa yenye malaria na bado kufikia lengo hili katika ngazi ya kitaifa, wengi sasa ni kutumia sawa kuondoa mkakati katika mikoa, wilaya na ndogo ya wilaya ya ngazi. Matibabu MDT zimepatikana na WHO bure kwa wagonjwa wote duniani kote tangu 1995, na hutoa rahisi lakini yenye ufanisi tiba kwa kila aina ya ukoma.
Kulingana na taarifa rasmi kupokea wakati 2,012 kutoka nchi 105 na wilaya, kimataifa waliosajiliwa maambukizi ya ukoma katika mwanzo wa 2012 alisimama kesi 181,941, wakati idadi ya kesi mpya wanaona wakati wa 2011 ilikuwa 219,075 (ukiondoa idadi ndogo ya kesi katika Ulaya) .
© Bruno Antunes
Ukoma kampeni katika Sergipe, Brazil
Nchi nyingi ambazo hapo zamani sana endemic kwa ukoma kuwa na mafanikio ya kuondoa katika ngazi ya kitaifa na kuimarisha juhudi zao katika ngazi za mikoa na wilaya. Wakati wa 2007, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Msumbiji kuondoa kufikiwa katika ngazi ya kitaifa, na walikuwa alijiunga na Timor-Leste na mwisho wa 2010. Hata hivyo, mifuko ya ueneaji high bado katika baadhi ya foci katika Angola, Brazil, Jamhuri ya Afrika Kati, India, Madagascar, Nepal na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na katika nchi ya awali yenye endemic, kama vile Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Msumbiji. Nchi hizi kubaki yenye nia ya kuondoa ugonjwa huo, na kuendelea kuimarisha ukoma kudhibiti shughuli zao.
Kampeni za habari kuhusu ukoma katika maeneo ya hatari ni muhimu ili wagonjwa na familia zao, ambao walikuwa kihistoria aliyeondolewa jamii zao, ni moyo kuja mbele na kupokea matibabu. njia bora zaidi ya kuzuia ulemavu katika ukoma, kama vile kuzuia maambukizi zaidi ya ugonjwa huo, lipo katika utambuzi wa mapema na matibabu na MDT.