Showing posts with label Burudani. Show all posts
Showing posts with label Burudani. Show all posts

Tuesday, May 28

Mangwair adaiwa kufariki dunia leo hii nchini Afrika kusini.

R.I.P. Ngwair.
Anga la musiki wa bongo fleva hapa bongo limefunikwa kwa majonzi ya kifo cha msanii Albert Mangwair kinachodaiwa kutokea leo hii katika hospitali moja nchini Afrika kusini. Kwa habari zaidi endelea kufuatilia mtanga halisi

Thursday, February 14

Pesa ilivyoharibu urembo wa mabinti hawa.

Uche jombo - Norwood Star
LAGOS, NIGERIA
KATI ya vitu ambavyo wanawake wanavithamini na kuvipa kipaumbele katika masuala yao ya urembo, ni nywele na kucha.Kwao ndio kama kitambulisho cha urembo hasa kwa mabinti wa kisasa.

Ndio maana wamekuwa wakitunza nywele na kucha zao kwa gharama yoyote ile na kila siku wamekuwa wakitumia teknolojia za kila namna.

Lakini pesa haina adabu. Kwa Nollywood wapo mabinti ambao wamewekewa fedha mezani wakanyoa nywele zao.

Wameshawishiwa kwa fedha na maprodyuza wakanyoa nywele ili kuendana na uhusika kwenye filamu zilizolengwa. Mbali urembo wengine wamekuwa wakishawishiwa hata kujikondesha. Fuatilia orodha hii;

Mercy Johnson

Tuesday, January 29

Lulu apatadhamana mahakama kuu.

Elizabeth Michael ,a.k.a. Lulu
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imempa dhamana msanii wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ anayekabiliwa na kesi ya kuua bila kukusudia.Msanii huyo alipewa dhamana hiyo jana kwa masharti manne ya msingi, likiwamo la kusaini bondi ya jumla ya Sh40 milioni.

Hata hivyo, licha ya Mahakama hiyo kumpatia dhamana, juhudi za mawakili wake, kuhakikisha anarejea uraiani jana hiyo ziligonga mwamba baada ya Msajili wa Mahakama aliyepaswa kuhakiki vielelezo kutokuwapo.

Lulu anakabiliwa na