R.I.P. Ngwair.
Anga la musiki wa bongo fleva hapa bongo limefunikwa kwa majonzi ya kifo cha msanii Albert Mangwair kinachodaiwa kutokea leo hii katika hospitali moja nchini Afrika kusini. Kwa habari zaidi endelea kufuatilia mtanga halisi
Kwa Habari, Michezo na Burudani.www.babutz.blogspot.com