Kwenye tamaduni maarufu
Mnamo 2006-2007, mtandao wa televisheni wa Korea Kusini (Munhwa Broadcasting Corporation, kifupi 'MBC) umerusha hewani mfululizo wa kipindi cha maarufu chenye vipengele 81, Jumong.
Kifo na Urithi
Jumong alikufa mnamo 19 KK akiwa na umri wa miaka 40.Mtoto wa (Yuri) kamzika baba yake ndani ya kaburi la pyramid, na kumpa jina la Chumo-seongwang.
Familia
- Baba: Hae Mosu
- Mama: Yuhwa
- Baba Mlezi: Geumwa, mfalme wa Dongbuyeo
- Mke wa 1: Bi. Ye So Ya
- Yuri (Mfalme Yuri),
- Mke wa 2: So Seo-no
- Biryu
- Onjo (Mfalme Onjo)